Psalms 18:29


29 aKwa msaada wako naweza kushinda jeshi,
nikiwa pamoja na Mungu wangu
nitaweza kuruka ukuta.

Copyright information for SwhKC